Filamu yenye hadithi ya kuvutia ambayo hutachoka kuangalia na kamwe hautajutia kuwa na nakala ya hii filamu
SONGEA
Bombiii Nyumbii
Saturday, January 23, 2016
Monday, April 29, 2013
Bonanza la Burudani na Michezo
Muendesha pikipiki akionesha manjonjo yake ya kuchezea pikipiki kwenye viwanja vya Zimanimoto-Songea.Hii ilikuwa ni kwenye Tamasha la Burudani na Michezo ambalo lilifanyika Jumapili tarehe 28 Aprili,2013.Tamasha hili liliwahusisha wasanii wa filamu na muziki wa ndani na nje ya Songea ambapo kwa wakati tofauti walitoa burudani ambayo iliwafurahisha wakazi wa ndani na nje ya Songea.Tutaendelea kuliona hili Tamasha kila wiki ya mwisho wa mwezi na tunategemea litazidi kuboreshwa chini ya usimamizi wa Equator Night Club ,Radio Jogoo FM na Michango kutoka kwa wadau wote wa michezo,sanaa na burudani.
Friday, April 26, 2013
Pata ramani yako
Mfano wa nyumba kazi iliyofanywa na Royal framing and photo solution chini ya Mkurugenzi Yusuph Kondela Mange. contacts +255782350152
Tupendezeshe Mji wetu
Mfano wa nyumba kazi iliyofanywa na Royal framing and photo solution chini ya Mkurugenzi Yusuph Kondela Mange. contacts +255782350152
Usanifu na Ubunifu wa Majengo
Mfano wa nyumba kazi iliyofanywa na Royal framing and photo solution chini ya Mkurugenzi Yusuph Kondela Mange. contacts +255782350152
Wednesday, April 24, 2013
Majengo Mitumbani
Mtaa wa Kotaz Majengo eneo ambalo ni maarufu kama Majengo mitumbani.Hapa unaweza kujipatia bidhaa mbalimbali za mitumba kama nguo,viatu na mikoba n.k.
Kwa siku ya Jumapili barabara hii hufungwa na kunakuwa na mnada wa bidhaa za chakula kutoka kwa wakulima wadogo wadogo kama,mboga ,nafaka,matunda na viungo.
Kwa siku ya Jumapili barabara hii hufungwa na kunakuwa na mnada wa bidhaa za chakula kutoka kwa wakulima wadogo wadogo kama,mboga ,nafaka,matunda na viungo.
Monday, April 22, 2013
Muonekano Tofauti..........
Salmada(Kihongolo Binti Msukule) kwenye uchukuaji wa picha za filamu ya Kihongolo Binti Msukule huko Mateka,Kisiwani-Songea.
Subscribe to:
Posts (Atom)