Saturday, May 28, 2011

NYASA BEACH-LITUHI

MUONEKANA WA LAKE NYASA-LITUHI

Kabla ya lake shore kinachoonekana ni mashamba ya
mpunga.Eneo hili awali watu walikuwa wanakaa        
ya ziwa kabla ya kuhamishwa na mamlaka kutokana  
na mafuriko ya mara kwa mara ambayo yalikuwa       
yanahatarisha usalama wa wakazi na mali zao.            

LAKE NYASA-LITUHI

MITOMONI-SONGEA

Daraja mto Ruvuma eneo la Mitomoni-Songea,hapa
ndiyo mpaka wa Tanzania na Msumbiji.Ng'ambo ya
pili ni Jimbo linaloitwa Nyasa-Msumbiji.Daraja        
linatarajiwa kuwa na urefu wa mita 100.Umbali 
wa kutoka darajani hadi Songea mjini ni km.130.      

Wednesday, May 25, 2011

OFISI YA HAZINA NDOGO-SONGEA-RUVUMA

Mpate Street/Tanesco ya zamani

NJOMBE-SONGEA ROAD

                                         Sehemu kubwa ya wakazi wa Manispaa ya Songea
                                         wanatumia usafiri wa pikipiki maarufu kwa jina la
                                         yebo yebo.Hii ni Njombe-Songea road unatoka
                                         Bombambili unaelekea Mjini.
                                          Mpate Road /Tanesco ya zamani-Mjini

MITOMONI-SONGEA,TANZANIA/MSUMBIJI BOARDER

MAJIMAJI STADIUM-SONGEA

Uwanja huu ndiyo unatumiwa na timu ya       
Majimaji FC ambayo kwa msimu huu imeshuka
Daraja.Pia utatumika kwenye uzinduzi wa      
shughuli ya Mazingira ,Miaka 47 ya Muungano   
 na Miaka 50 ya Uhuru wa Jamhuri ya Muungano
 wa Tanzania