Saturday, May 28, 2011

MITOMONI-SONGEA

Daraja mto Ruvuma eneo la Mitomoni-Songea,hapa
ndiyo mpaka wa Tanzania na Msumbiji.Ng'ambo ya
pili ni Jimbo linaloitwa Nyasa-Msumbiji.Daraja        
linatarajiwa kuwa na urefu wa mita 100.Umbali 
wa kutoka darajani hadi Songea mjini ni km.130.      

2 comments:

  1. karibu....from Johannesburg....I am planning another trip to Tanzania in June and am looking to drive from Songea to Mitomoni and on to Mozambique...on earlier trips there was no official border at Mitomoni....is it OK to cross there at this stage...i see a bridge which must be fairly new...Many thanks in anticipation....Peter Baker

    ReplyDelete
  2. jambo la kheri endapo mtajenga daraja laenye mita 65 ktk kijiji cha mitomoni kwa kufanya hivyo mtakuwa mmepiga hatua ya kimaendeleo hususani wazawa wa kijiji hicho na vijiji jirani edited by seleman onga (onga store)

    ReplyDelete