Washiriki wakuu wa Filamu ya African Big Mama,Mzee Jengua na Shukurani Kasim wakiwa kwenye Location huko Mkongo-Namtumbo.
African Big Mama inamzungumzia mwanamke mwanaharakati ambaye yupo mstari wa mbele kuwatetea wanawake,watoto na wengine.Harakati zake zinapingana na matendo ya uonevu ya mume wake ambaye ni Kiongozi wa Kimila(Chifu).Subiri kuona ni lipi litatokea kwenye filamu hii ya mwanamke shujaa!
No comments:
Post a Comment