Saturday, May 28, 2011
MUONEKANA WA LAKE NYASA-LITUHI
Kabla ya lake shore kinachoonekana ni mashamba ya
mpunga.Eneo hili awali watu walikuwa wanakaa
ya ziwa kabla ya kuhamishwa na mamlaka kutokana
na mafuriko ya mara kwa mara ambayo yalikuwa
yanahatarisha usalama wa wakazi na mali zao.
MITOMONI-SONGEA
Daraja mto Ruvuma eneo la Mitomoni-Songea,hapa
ndiyo mpaka wa Tanzania na Msumbiji.Ng'ambo ya
pili ni Jimbo linaloitwa Nyasa-Msumbiji.Daraja
linatarajiwa kuwa na urefu wa mita 100.Umbali
wa kutoka darajani hadi Songea mjini ni km.130.
Wednesday, May 25, 2011
NJOMBE-SONGEA ROAD
Sehemu kubwa ya wakazi wa Manispaa ya Songea
wanatumia usafiri wa pikipiki maarufu kwa jina la
yebo yebo.Hii ni Njombe-Songea road unatoka
Bombambili unaelekea Mjini.
wanatumia usafiri wa pikipiki maarufu kwa jina la
yebo yebo.Hii ni Njombe-Songea road unatoka
Bombambili unaelekea Mjini.
MAJIMAJI STADIUM-SONGEA
Uwanja huu ndiyo unatumiwa na timu ya
Majimaji FC ambayo kwa msimu huu imeshuka
Daraja.Pia utatumika kwenye uzinduzi wa
shughuli ya Mazingira ,Miaka 47 ya Muungano
na Miaka 50 ya Uhuru wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania
Saturday, May 14, 2011
Subscribe to:
Posts (Atom)